• [Online Us]

  24-hour service

 • Find Us

  Zhengzhou, China

Blog
 1. Home /
 2. Blog

Ufugaji wa kuku wa mayai

products

Popular products

 • HIZI NDIZO FAIDA UTAKAZOZIPATA UTAPOAMAUA KUFUGA KUKU WA
  HIZI NDIZO FAIDA UTAKAZOZIPATA UTAPOAMAUA KUFUGA KUKU WA

  Leo ningependa kuchambua faida mbalimbali za kuku wa kienyeji. Imezoeleka katika sehemu nyingi kuku hutumika kama kitoweo,hii ni faida moja wapo ya kuku,lakini pia mayai ya kuku wa asili hua na virutubisho kama Vitamin A,Vitamin E,Vitamin D,vitamin B12,madini ya zinc,madini chuma na pia protein ambayo ni muhimu sana katika ujenzi wa mwili

  Get Price
 • KITINI CHA UFUGAJI BORA WA KUKU WA ASILI KWA
  KITINI CHA UFUGAJI BORA WA KUKU WA ASILI KWA

  1.2 Faida za Ufugaji wa Kuku wa Asili: Chakula – nyama ya kuku na mayai hutumika kama chakula muhimu cha wanadamu, chenye protini. Chanzo cha kipato – mkulima hupata fedha akiuza kuku au mayai. Chanzo cha ajira – ufugaji wa kuku hutoa ajira kwa jamii

  Get Price
 • Mtaji wa kufuga kuku wa kienyeji, mchanganuo wake na
  Mtaji wa kufuga kuku wa kienyeji, mchanganuo wake na

  1. Wastahimilivu wa magonjwa lakini ni muhimu wakikingwa na magonjwa ya kuku kama mdondo, ndui ya kuku n.k ili kuweza kuwaendeleza. 2. Wana uwezo wa kujitafutia chakula ardhini. 3. Wana uwezo wa kuatamia mayai, kutotoa na kulea vifaranga na ustahimilivu wa mazingira magumu kama ukame, baridi n.k

  Get Price
 • Jinsi yaku OKOTA mayai kwenye CAGE ya KUKU . UFUGAJI WA
  Jinsi yaku OKOTA mayai kwenye CAGE ya KUKU . UFUGAJI WA

  About Press Copyright Contact us Creators Advertise Developers Terms Privacy Policy & Safety How YouTube works Test new features Press Copyright Contact us Creators

  Get Price
 • FAHAMU KUHUSU KUKU AINA YA SASSO. – Silverlands
  FAHAMU KUHUSU KUKU AINA YA SASSO. – Silverlands

  SASSO ni kuku ambao mfugaji anaweza kuwafuga kwaajili ya mayai lakini pia kwaajili ya nyama. Pia ni kuku ambao wanakua katika mazingira ya aina yeyote kutokana na namna ya ufugaji utakao amua kuwafuga. Unaweza kuwafuga ndani tu kama kuku wa nyama au mayai, pia unaweza kuwafuga kama kuku wa kienyeji kwa kuwaachia nnje (kujitafutia chakula na maji)

  Get Price
 • UFUGAJI MAKINI
  UFUGAJI MAKINI

  UFUGAJI NA UANGALIZI WA KWARE

  Get Price
 • Ufugaji wa kuku wa mayai pdf | filtholpaiter1977's Ownd
  Ufugaji wa kuku wa mayai pdf | filtholpaiter1977's Ownd

  Ukiishachagua wazazi wa kundi lako changanya jogoo na matetea kwa uwiano wa jogoo mmoja kwa matetea 10 hadi Ukiwa na matetea 20 utahitaji kuwa na jogoo wawili. Nchini kwetu zipo aina tofauti za kuku wa asili ambao wana sifa tofauti. Wafugaji wengi hufuga kutegemeana na uwezo wa kuku kuhimili magonjwa ,kuwa na uzito mkubwa, utagaji wa mayai mengi n

  Get Price
 • Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake | JamiiForums
  Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake | JamiiForums

  Jan 07, 2022 Kuku wa kutaga mayai huhitaji mwangaza wa stima (saa 14 kwa siku) ili kutaga mayai (gharama) Kwa kuongezea, rangi ya nyama na mayai ya kuku wa kienyeji huvutia kuliko ile ya kuku wa kisasa. Hivyo basi jaribu kuendeleza na kuhimiza ufugaji wa kuku za kienyeji. Iwapo mkulima ana jogoo mmoja na kuku kumi na mbili, basi kila mwezi waweza kupata kuku

  Get Price
 • UFUGAJI_BORA_WA_KUKU_FINAL_5_pdf.pdf - UFUGAJI BORA WA
  UFUGAJI_BORA_WA_KUKU_FINAL_5_pdf.pdf - UFUGAJI BORA WA

  SURA YA KWANZA UMUHIMU WA KUFUGA KUKU Ufugaji wa kuku kama ulivyo ufugaji mwingine una faida nyingi kwa mfugaji. Faida za ufugaji wa kuku unatazamwa katika makundi mbalimbali kama vile chakula, fedha na mbolea. Chakula. Faida ya kwanza ya kuku ni kwamba hutumika kama kitowea kwa mfugaji na jamii. Mayai. Kuku wanaotaga mayai wanafaida

  Get Price
 • KALUAS: KUKU AINA YA KROILER NI UTAJIRI WA HARAKA
  KALUAS: KUKU AINA YA KROILER NI UTAJIRI WA HARAKA

  Sep 08, 2018 Sifa Za Kuku Aina Ya Kuroiler. •Wanakua haraka. •Wanakadiriwa kuwa na uzito kati ya kilo 3 mpaka 3 na nusu wakiwa na umri wa miezi 4. •Wanavumilia magonjwa. •Wanafugika aina zote za ufugaji ndani, nusu huria na huria kabisa. Muhimu. Kuku aina ya kuroiler wanafaa vizuri zaidi katika upande wa uzalishaji wa mayai na kwa ukuaji wa haraka

  Get Price
 • Jinsi ya Kuanzisha Biashara Ya Kufuga Kuku Yenye
  Jinsi ya Kuanzisha Biashara Ya Kufuga Kuku Yenye

  Feb 24, 2017 Kuku wa mayai. Kuzalisha nyama ya kuku ya kuuza. Kuzalisha chakula ya kuku ya kuuza. Kuzalisha nyama na mayai ya kuku ya kisasa. Fanya maamuzi kwa kuangalia kiasi cha pesa ulionayo kuanzisha biashara pamoja mahitaji ya eneo yako. Ni muhimu sana kufanya utafiti wako (uliza wafugaji wengine wa kuku) kujua ni aina gani ya ufugaji wa kuku

  Get Price
 • UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI KWA NJIA ZA KISASA
  UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI KWA NJIA ZA KISASA

  Mar 20, 2019 Na kwa kuku wa kienyeji kwa sababu hawana uwezo wa kukua haraka na wala kutaga mayai mengi kama kuku wa kisasa, hata kama utawapa chakula kizuri kama unachowapa kuku wa kisasa, ni vema kwenda nao pole pole kwa kuwapatia chakula cha gharama nafuu ambacho mfugaji akipata maelekezo ataweza kujitengenezea mwenyewe ili

  Get Price
 • KITUO CHA MAFUNZO CHA SILVERLANDS TANZANIA LIMITED
  KITUO CHA MAFUNZO CHA SILVERLANDS TANZANIA LIMITED

  1.Ufugaji bora wa kuku wa Nyama (Broiler Course) 2.Ufugaji bora wa kuku wa Mayai (Layer Course) 3.Namna bora ya ufugaji na uzalishaji wa kuku kwa ujumla (Poultry Production) Tunatoa mafunzo ya ufugaji kwa watu wote wanaoitaji mafunzo ya ufugaji , bila kuangalia viwango vya elimu uliyonayo na mazingira uliyotokea

  Get Price
 • (PDF) UFUGAJI BORA WA KUKU FINAL-5.pdf | Gas Nzasule
  (PDF) UFUGAJI BORA WA KUKU FINAL-5.pdf | Gas Nzasule

  Faida za ufugaji wa kuku unatazamwa katika makundi mbalimbali kama vile chakula, fedha na mbolea. Chakula. Faida ya kwanza ya kuku ni kwamba hutumika kama kitowea kwa mfugaji na jamii. Mayai. Kuku wanaotaga mayai wanafaida kubwa kutokana na mayai yao kuweza kuuzwa sehemu mbalimbali au kuliwa. Mayai ni muhimu sana kiafya kutokana na kusheheni

  Get Price
 • Jinsi Ya Kufuga Kuku wa Kienyeji na Faida zake Tanzania
  Jinsi Ya Kufuga Kuku wa Kienyeji na Faida zake Tanzania

  Dec 24, 2021 Sehemu ndogo ya ufugaji wa kuku hutumika kuliko ufugaji huria, utunzaji wa kuku ni rahisi ukilinganisha na mfumo huria, Ni rahisi kutibu magonjwa ya mlipuko kama mdondo (Newcastle desease), Upotevu wa kuku na mayai ni mdogo sana ukilinganisha na mfumo huria. C. UFUGAJI WA MFUMO WA NDANI

  Get Price
 • Ufugaji wa kuku wa mayai in English with examples
  Ufugaji wa kuku wa mayai in English with examples

  Contextual translation of ufugaji wa kuku wa mayai into English. Human translations with examples: poultry, herding, broiler, chicken poxri, modern poultry

  Get Price
 • MCHANGANUO WA CHAKULA CHA KUKU WA MAYAI
  MCHANGANUO WA CHAKULA CHA KUKU WA MAYAI

  UMRI WA WIKI 41 - 80. Katika umri huu kuku wanakuwa wameanza kuchoka na huanza kutaga kwa kiwango cha kawaida (65% hadi 75%) hivyo hupewa chakula aina ya Layers Phase 2 kwa ajili kuendeleza (maintain) kiwango chao hicho kwa muda mrefu. Kiwango chao ni Gram 130 kwa kuku mmoja kwa siku moja

  Get Price
 • Ufugaji wa Kuku Chotara - BORA KILIMO-BIASHARA
  Ufugaji wa Kuku Chotara - BORA KILIMO-BIASHARA

  Nov 04, 2020 Kuku hawa wanataga mayai mengi tofauti na kuku wa kawaida wa kineyeji. Ukiwalisha vizuri wanaweza kutaga mpaka mayai 240 kwa mwaka, huu ukiwa ni wastani wa karibia yai 1 kwa siku. Kuku hawa hukua kwa haraka na wana uwezo wa kufikia uzito wa kilogramu 3 katika muda wa miezi 3. Unaweza kuwatumia hawa kuku kwa ajili ya kuuza kama

  Get Price
 • UFUGAJI WA KUKU WA MAYAI - YouTube
  UFUGAJI WA KUKU WA MAYAI - YouTube

  Dondoo za ufugaji bora wa Kuku wa mayai na njia za kumsaidia anaposhindwa kutaga

  Get Price
 • Magonjwa Ya Nguruwe na Dalili Zake na Tiba zake | Ufugaji
  Magonjwa Ya Nguruwe na Dalili Zake na Tiba zake | Ufugaji

  Jan 20, 2022 WADUDU WA NJE. 1. Mange. Ni moja ya magonjwa ya nguruwe ambayo Husababishwa na wadudu wanao itwa mites wanaishi kwenye ngozi ya nguruwe maeneo ya machoni, masikioni, miguuni na shingoni. DALILI ZAKE. Nguruwe anakua anjikuna kuna kwenye ukuta kwenye miguu, macho na masikio. Ngozi inakua na mabaka kama vibarango na mistali

  Get Price
 • Ufugaji wa Kuku Chotara. - Mshindo Veterinary Care
  Ufugaji wa Kuku Chotara. - Mshindo Veterinary Care

  Sifa ya kuku chotara ni kama ifuatavyo, 1. Wanastahimili sana magonjwa. 2 Wanataga mayai mengi mpaka 240 kwa mwaka kama ukiwalisha vizuri kwa miaka mitano. 3. Wanakua haraka sana. Wanafikisha mpaka kilo 3 kwa muda wa miezi mitatu kama ukiwalisha vizuri. 4.Anatumika kama kuku wa nyama na mayai

  Get Price
 • UFUGAJI WA KUKU WA MAYAI HATUA KWA HATUA - Kilimo
  UFUGAJI WA KUKU WA MAYAI HATUA KWA HATUA - Kilimo

  Ufugaji wa kuku wa mayai katika Makala hii ya ufugaji wa hatua kwa hatua nitaelezea ufugaji wa kuku wa mayai kwa lengo la uzalishaji wa mayai kibiashara. Nimelenga ufugaji utakaomtoa mfugaji kutoa hatua moja kwenda nyingine na si ufugaji wa mazoea

  Get Price
 • KUKU WA MAYAI - EGG CHICKEN - IBRAHIM MDOE LIFE
  KUKU WA MAYAI - EGG CHICKEN - IBRAHIM MDOE LIFE

  Ufugaji wa Kuku wa Mayai kibiashara unamlazimu mfugaji awekeze mtaji wa kutosha ili kupata faida hapo baadae, na faida huanza kuja kuonekana pale mfugaji atakapoanza kuuza mayai pindi kuku watakapoanza kutaga ambapo huwa ni baada ya miezi minne mpaka mitano toka kuanza kwa ufugaji, endapo kuku watakua wameanza kufugwa toka wapo vifaranga

  Get Price
 • ULISHAJI WA KUKU WA MAYAI... - Darasa la Ufugaji
  ULISHAJI WA KUKU WA MAYAI... - Darasa la Ufugaji

  Darasa la Ufugaji Enterprise. December 31, 2015 . ULISHAJI WA KUKU WA MAYAI (LAYERS) Kuku wa mayai ili watage vizuri wanatakiwa walishwe chakula bora kwa utaratibu unaotakiwa, ukiwazidishia au kuwaongezea hawatotaga vizuri. Wanatakiwa walishwe kati na kati kulingana na umri kama ifuatavyo:-. UMRI WA WIKI 1 -2

  Get Price
 • UFUGAJI BORA WA KUKU WA MAYAI: MCHANGANUO WA
  UFUGAJI BORA WA KUKU WA MAYAI: MCHANGANUO WA

  UFUGAJI BORA WA KUKU WA MAYAI: MCHANGANUO WA BIASHARA, KUKU 1000. Ufuatao ni muhtasari wa mpango wa biashara ya ufugaji wa kuku wa mayai, mchanganuo mzima wa mradi huu unapatikana katika blogu maalumu ya Darasa la michanganuo ya biashara lililoanzishawa rasmi kwa ajili ya wale wote wenye nia ya kujua jinsi ya kuandika michanganuo

  Get Price
 • Jinsi yaku OKOTA mayai kwenye CAGE ya KUKU
  Jinsi yaku OKOTA mayai kwenye CAGE ya KUKU

  About Press Copyright Contact us Creators Advertise Developers Terms Privacy Policy & Safety How YouTube works Test new features Press Copyright Contact us Creators

  Get Price
 • Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji Tanzania na Mwongozo wake
  Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji Tanzania na Mwongozo wake

  Dec 23, 2021 Kuku wa mayai pia wanahitaji mchanganyiko sahihi ili waweze kutaga mayai kwa wingi. 4. Banda La Kuku. Ufugaji wa Kuku wa kienyeji pia wanahitaji banda au nyumba ya kuku imara ili kuweza kuwakinga na baridi kali, wanyama hatari, na wizi Banda pia liwe na semu nzuri za kutagia na sehemu za kulala ziwe juu kwani kuku hupendelea kulala juu

  Get Price
 • UFUGAJI WA TIJA WA KUKU WA KIENYEJI – Maisha ni Fursa
  UFUGAJI WA TIJA WA KUKU WA KIENYEJI – Maisha ni Fursa

  Sep 01, 2020 Leo tutajikita katika mada yenye kichwa “UFUGAJI WA TIJA WA KUKU WA KIENYEJI” Nakushukuru sana kwa kuendelea kufuatilia kazi zetu, uwepo wako una umuhimu mkubwa sana kwani bila wewe kazi hii haina maana. Kwa kufuga kuku wa kienyeji mfugaji anaweza kuanzia mahali popote anapoweza kulingana na uwezo wake kifedha

  Get Price
Blog

Latest Blog